Wakaazi wa Lamu hawafaidi kutokana na wanyama

  • | Citizen TV
    228 views

    wakaazi wa kaunti ya Lamu wamekuwa wakiwaenzi wanyama kama vile punda,ngombe,na mbuzi katika kujikimu kimaisha na kuboresha uchumi wa Lamu huku wanyama wengi wa porini wakipuuzwa.Kaunti ya Lamu imetajwa kuwa na wanyama pori wengi kuliko kaunti zengine lakini faida ya wanyama hawa haijaonekana kutokana na changamoto za usalama. Rahma Rashid anaangazia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanyamapori.