Naibu Rais Rigathi Gachagua aomba msamaha

  • | Citizen TV
    1,901 views

    "Naomba Msamaha kwa yote niliyokosea"......Huu ndio ujumbe wa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa rais William Ruto na hata wabunge, siku mbili kabla ya kufika bungeni kujitetea kwenye mdahalo wa kumbandua mamlakani