Mswada wa michezo kuwezesha kaunti ya Murang'a kuwasaidia vijana

  • | Citizen TV
    60 views

    Bunge la kaunti ya Murang’a linatizamiwa kuwasilisha hoja ya kujadili mswada wa michezo, ambao utawezesha serikali ya kaunti kusaidia vijana kujihusisha na michezo na kukuza talanta