Tamasha Nova: Simulizi ambazo haziawahi kusikika za manusura wa Hamas

  • | BBC Swahili
    235 views
    Makala hii inaonesha matukio ya dakika baada ya dakika ya shambulio la Oktoba 7 lililofanywa na Hamas kwenye Tamasha la Muziki la Nova. Kunusurika Oktoba 7: Tutarudi kudansi Tena, inatoa taswira ya shambulio katika tamasha la Nova, moja ya maeneo chini Israel yaliyoshambuliwa na Hamas karibu mwaka mmoja uliopita. Makala hii inaonesha jinsi tamasha la furaha la muziki lililojaa vijana njinsi lilivyogeuka kuwa eneo la mauaji. #bbcswahili #israel #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw