Mauaji ya Muloki: Madereva wa teksi Mombasa waandamana

  • | KBC Video
    40 views

    Baadhi ya madereva wa teksi katika kaunti ya Mombasa waliandamana kulalamikia utekaji nyara na mauaji ya mwenzao wa miaka 35 kwa jina Victoria Muloki. Wakiongozwa na mwenyekiti wa madereva wa teksi ambazo huduma zao huagoizwa kupitia mitandaoni kanda ya Pwani, Lance Marley madereva hao pia walihimiza mashirika yanayosimamia mitandao hiyo kukadiria kuwaongezea mapato yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive