Gachathi ashinda Ksh.1M za jipange ushinde na Viusasa

  • | Citizen TV
    244 views

    Wakenya zaidi wanaendelea kushinda pesa taslimu katika mchezo wa jipange ushinde na Viusasa. Mshindi wa hivi punde akiwa ni Gachathi kutoka kiambu ambaye alijishindia shilingi milioni moja pamoja na Joseph Kamuri wa Nyeri kwa hisani ya viusasa.