Tunaangazia kilimo cha maua na mnada mkubwa Uholanzi

  • | Citizen TV
    251 views

    Uholanzi inajulikana pakubwa kwa umaarufu wake wa kukuza maua ulimwenguni. Kiini cha tasnia hii ni mnada wa Royal Flora Holland, mnada mkubwa zaidi wa maua ulimwenguni. Mamilioni ya maua hununuliwa na kuuzwa kila siku, kuwaunganisha wakulima na masoko ya kimataifa.