Familia ambayo watu wote wana upofu

  • | BBC Swahili
    0 views
    'Tuliunda kikundi hiki baada ya kugundua ukiwa na upofu unatengwa' Kutana na Moses kiongozi wa kikundi cha jamii ya vipofu katika kijiji cha Luubu ambacho kina watu 25, wanaoishi katika eneo moja Kikundi hiki hukutana kila jumatatu chini ya mti ili kuzungumzia changamoto wanazopitia na kusaidiana. Mwandishi wa BBC Agnes Penda aliwatembelea huko Mashariki mwa Uganda na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #uganda #upofu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw