Siku ya mtoto wa Kike duniani

  • | BBC Swahili
    696 views
    Ni siku ya mtoto msichana duniani na tunazungumza na bi Fatuma Mohammed msimamizi wa shirika la kutetea haki za wanawake na vijana jijini Nairobi nchini Kenya lijulikanalo kama (WOYEPA). - Bi Fatuma amebuni mbinu ya kuokoa wasichana kutoka ndoa za mapema na dhuluma za kingono katika jamii ya Somali humu nchini na hata wasichana wakimbizi wanaotoka nchi jirani ya Somalia. - Bi Fatuma ameokoa zaidi ya wasichana 450 tangu mwaka 2016. Mwanahabari Isabella Mwagodi alizungumza naye, na alianza kwa kumuliza katika miaka 10 ambayo ameokoa wasichana kutoka kwa dhuluma mbalimbali kuna lolote la kusherekea katika siku hii? - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw