Watu wenye bunduki waliwauwa wachimba migodi 20 na kuwajeruhi wengine 7 huko kusini magharibi mwa Pakistan, afisa wa polisi alisema Ijumaa, huku mamlaka zikilaani tukio hilo, wakati operesheni ya kuwasaka washambuliaji hao ikiendelea.
Tukio hili la hivi karibuni katika jimbo la Balochistan lenye ghasia limekuja siku kadhaa kabla ya mkutano mkuu wa usalama ambao mji mkuu huo ndiyo mwenyeji wa mkusanyiko huo.
Watu hao wenye silaha walivamia eneo la malazi la machimbo ya mkaa wa mawe huko wilaya ya Duki Alhamisi usiku sana, wakawazingira wanaume hao na kuwapiga risasi, afisa wa polisi Hamayun Khan Nasir alisema.
Alisema kuwa washambuliaji hao pia walifyatua roketi na kurusha maguruneti katika mgodi wa mkaa wa mawe na kuharibu vifaa ya kuchimbia mgodi kabla ya kutoweka. - AP
#mgodi #machimbo #balochistan #pakistan #polisi #familia #hospitali
21 Apr 2025
- African leaders praised the "legacy of compassion" and "commitment to inclusivity" of Pope Francis as they joined global mourning over his death on Monday.
21 Apr 2025
- South Sudan's army said it had recaptured a key town in Upper Nile state that it lost to an ethnic Nuer militia in March in clashes which led to the arrest of First Vice President Riek Machar and a spiralling political crisis.
21 Apr 2025
- Former President Uhuru Kenyatta has joined leaders and catholic faithful worldwide in mourning Pope Francis who passed on early this morning.
21 Apr 2025
- A hush reigned over the normally boisterous St Peter's Square on Monday as the faithful and the curious alike gathered at the seat of Catholicism to mark the death of Pope Francis.
21 Apr 2025
- The Eiffel Tower's landmark illuminations will be switched off on Monday night in memory of Pope Francis who died aged 88, Paris mayor Anne Hidalgo said.
21 Apr 2025
- Sunday's scheduled canonisation of the Catholic Church's first millennial saint has been postponed to a later date after the death of Pope Francis, the Vatican said on Monday.
21 Apr 2025
- With the death of Pope Francis, announced by the Vatican on Monday, Roman Catholics around the globe will start speculating on who among the red-robed cardinals will succeed him.