- 54 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA: Je, unafahamu uhusiano kati ya afya ya kiroho na afya ya sayansi?
- - Counties in brief ››
- 12 Oct 2024 - Independent presidential candidate Venancio Mondlane on Friday threatened to call a nationwide strike and bring Mozambique to a standstill if ruling party Frelimo claimed victory in the presidential election.
- 12 Oct 2024 - The third edition of the Climate Justice Camp (CJC), which is in its final lap in Arusha, Tanzania, with a majority of the population being youth representing over 90 countries globally, is targeted at sharing knowledge on environment, conservation and…
- 12 Oct 2024 - Tuberculosis (TB) continues to be a significant global health threat, now ranking as the most infectious killer disease worldwide, surpassing HIV/AIDS in mortality rates. Experts caution that without increased awareness and renewed political commitment…
- 12 Oct 2024 - Tuberculosis (TB) continues to be a significant global health threat, now ranking as the most infectious killer disease worldwide, surpassing HIV/AIDS in mortality rates. Experts caution that without increased awareness and renewed political commitment…
- 12 Oct 2024 - Kenya will send 600 more police officers to Haiti next month to bolster an international anti-gang mission, President William Ruto said on Friday during a visit by the Haitian prime minister intended to speed up deployments to the force.
- 12 Oct 2024 - Health ministry convenes crisis meeting amid Polio jab concerns
- 12 Oct 2024 - Waluke, Wakhungu walk free after court overturns Sh2b fine over maize scandal
- 12 Oct 2024 - Narcotic drugs worth over Ksh.176.5 million have been destroyed at the DCI National Forensic Laboratory following the conclusion of a court process.
- » Drama as court rules Kennedy Onyango, who was shot 8 times during protests, be buried by his mother12 Oct 2024 - There was drama outside the Mbita Law Courts on Friday after the father of a 12-year-old boy who was shot dead during anti-government protests in Nairobi disagreed with a court ruling.
- 12 Oct 2024 - Court leaves Tuju exposed in Sh1.9b battle with bank