Familia yamtafuta mtoto wao aliyetoweka akiwa shuleni Bomachoge

  • | Citizen TV
    1,174 views

    Familia moja kutoka Bomachoge kaunti ya Kisii inamtafuta mwana wao mwenye umri wa miaka minne anayedaiwa kuibwa kutoka shule moja eneo la Ogembo. Nimrod Baraka, mwanafunzi wa shule ya Chekechea amekuwa akitafutwa tangu jumanne wiki hii. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno alizuru kijiji Chao na hii hapa taarifa yake.