Mwanafunzi wa shule ya upili ya wavulana ya Kaaga alilia haki baada ya kupigwa na viranja wa shule

  • | Citizen TV
    1,470 views

    Mzazi Wa Mwanafunzi Aliyekuwa Akisoma Katika Shule Ya Wavulana Ya Kaaga Kaunti Ya Meru Anailaumu Shule Hiyo Kwa Dhulma Iliyompata Mwanawe Mikononi Mwa Viranja Wa Shule Hiyo. Mzazi Anadai Kuwa Mwanawe Alivamiwa Na Kupigwa Vibaya Ila Kufika Sasa Usimamizi Wa Shule Hiyo Umepuuza Tukio Hilo. Mwanafunzi Huyo Alitoroka Shuleni Akitafuta Msaada Na Sasa Wenzake Wanapojiandaa Kufanya Mtihani Wa Kitaifa Wa Kcse, Mustakabali Wa Elimu Yake Haujulikani.