Rais Ruto aepuka kuzungumzia masaibu ya naibu wake

  • | Citizen TV
    11,675 views

    Rais William Ruto kwa mara nyingine tena amesalia kimya kuhusiana na masaibu yanayomkumba naibu wake Rigathi Gachagua licha ya bunge kupitisha hoja ya kumwondoa mamlakani. Aidha Rais Ruto aliyetarajiwa kufika Embu kwa ibada iliyohudhuriwa pia na Gachagua alikosa kufika na badala yake kuhudhuria hafla nyingine Nairobi.