Afisa wa IEBC akamatwa kwa tuhuma za kutumia cheti kupandishws cheo

  • | Citizen TV
    8,284 views

    Tume ya ufisadi na kupambana na ufisadi imemkamata afisa wa tume ya uchaguzi kwa kutumia stakabadhi ghushi za masomo akiwa kazini kwa miaka 12.