Mawakili wa Gachagua wataka mahakama kusitisha mchakato wa kumwondoa ofisini

  • | Citizen TV
    15,505 views

    Mawakili wa naibu rais Rigathi Gachagua wanaitaka mahakama kusimamisha kusikizwa kwa hoja ya kumtimua Gachagua wakisema kuwa katiba imekiukwa. Wakiongozwa na wakili Paul Muite, mawakili hao wanasema kuwa shughuli ya kusikizwa kwa maoni ya wananchi kuhusu suala hilo ilipuuzwa na hivy kuhujumu katiba, mutite amesema kuwa wananchi walisisitiza gachagua aondolewe pamoja na bosi wake, ila bunge la kitaifa na seneti hazikuzingatia maoni hayo.