Mashabiki wa Tanzania -Taifa Stars wakishangilia timu yao katika mchezo wa kufuzu kuingia kwenye michuano ya Afcon 2025 kati ya timu ya Taifa Stars (Tanznaia) na DRC- Lepoard kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mjini Dar es Salaam ambapo DRC waliibuka na ushindi wa bao 2-0.
Taifa Stars imepoteza mchezo wa marejeano wa kufuzu fainali za AFCON 2025 dhidi ya DR Congo kwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mabao ya Congo yamefungwa na mshambuliaji Meshack Elia katika dakika za 88 na 90+, nyota huyo akiitumikia Young Boys ya Uswisi katika ngazi ya klabu.
Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo, Tanzania (Taifa Stars) nafasi ya pili ikiwa na pointi 4, Guinea nafasi ya tatu pointi 3, Ethiopia ikishika mkia ikiwa na pointi 1.
#tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja
21 Apr 2025
- African leaders praised the "legacy of compassion" and "commitment to inclusivity" of Pope Francis as they joined global mourning over his death on Monday.
21 Apr 2025
- South Sudan's army said it had recaptured a key town in Upper Nile state that it lost to an ethnic Nuer militia in March in clashes which led to the arrest of First Vice President Riek Machar and a spiralling political crisis.
21 Apr 2025
- Former President Uhuru Kenyatta has joined leaders and catholic faithful worldwide in mourning Pope Francis who passed on early this morning.
21 Apr 2025
- A hush reigned over the normally boisterous St Peter's Square on Monday as the faithful and the curious alike gathered at the seat of Catholicism to mark the death of Pope Francis.
21 Apr 2025
- The Eiffel Tower's landmark illuminations will be switched off on Monday night in memory of Pope Francis who died aged 88, Paris mayor Anne Hidalgo said.
21 Apr 2025
- Sunday's scheduled canonisation of the Catholic Church's first millennial saint has been postponed to a later date after the death of Pope Francis, the Vatican said on Monday.
21 Apr 2025
- With the death of Pope Francis, announced by the Vatican on Monday, Roman Catholics around the globe will start speculating on who among the red-robed cardinals will succeed him.