'Milipuko ya mabomu ilipozidi walikimbia na kuniacha peke yangu ndani ya nyumba'

  • | BBC Swahili
    0 views
    Simulizi za wafanyakazi wa ndani waliotelekezwa na waajiri wao nchini Lebanon Wafanyakazi wa majumbani nchini Lebanon wanasema familia walizokuwa wakifanya kazi zimekimbia mashambulizi ya Israeli na kuwaacha wafanyakazi hao majumbani ili wajitokoe wenyewe. #bbcswahili #israel #lebanon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw