Israeli yathibitisha kuuwawa kwa Sinwar

  • | VOA Swahili
    32 views
    Jeshi la Israeli Alhamisi usiku limetoa kanda ya video iliyochukuliwa kwa droni kwa kile ilichosema ilikuwa ni mkuu wa Hamas Yahya Sinwar kabla ya kuuwawa, huku picha hiyo ya video ikimuonyesha mwanamgambo huyo akitupa kitu kulenga droni. - AFP #jeshi #israel #gaza #rafah #mwanamgambo #mkuu #hamas #yahyasinwar #kuuwawa #voa #voaswahili