Kipute cha kombe la gavana Ole Lenku chazinduliwa

  • | Citizen TV
    1,058 views

    Timu ya Kamaliza FC kutoka Kajiado Mjini ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namanga River na kutwa ubingwa kwenye uzinduzi wa kipute cha kombe la Gavana Ole Lenku