Familia moja Kiambu yaomba msaada wa Shs 2M za gharama ya deni la matibabu ya mwendazake

  • | KBC Video
    96 views

    Familia moja katika kijiji cha Kamae, kaunti ya Kiambu inaomba msaada wa kifedha wa shilingi milioni mbili kufuatia kifo cha mpendwa wao. Familia hiyo inasema haiwezi kumudu gharama ya deni la matibabu na mipango ya mazishi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive