Masomo kidijitali kukuza mtindo wa kusoma

  • | KBC Video
    31 views

    Wadau katika sekta ya elimu wametoa wito wa kukuza masomo ya kidijitali ili kukuza utamaduni wa kusoma miongoni mwa watoto. Wakiongozwa na mkurugenzi wa ushirikiano katika shirika la World Reader Olivia Kimani, wadau hao wamesema hatua hiyo itasaidia kuziba mapengo ya ujuzi wa kusoma na kuandika miongoni mwa watoto, wakisisitiza kuhusu hitaji la juhudi za pamoja kati ya washirika wa umma na wa kibinafsi ili kuongeza upatikanaji wa elimu bora humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive