Polisi Kakamega wasaka mshukiwa wa mauaji

  • | KBC Video
    77 views

    Polisi katika kaunti ya Kakamega wanamsaka mwanamke mmoja anayehusishwa na kifo cha mwanaume mwenye umri wa miaka 55 aliyepatikana katika hoteli moja katika soko la Shibuli eneo bunge la Lurambi. Wakati huo huo familia moja mtaani Siembeni, eneo la Kibwezi kaunti ya Makueni inatafuta haki baada ya jamaa yao kuuliwa kinyama na mtu wanayemjua Jumapili usiku. Tilio Marko anatuletea taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive