- 122 viewsUchaguzi wa Marekani ni miongoni mwa chaguzi zenye gharama kubwa zaidi duniani. Uchaguzi mkuu wa Uingereza mwaka 2019, matumizi ya kisiasa yalikuwa mara 24 chini kuliko ya uchaguzi wa Marekani 2020. Wakati wa uchaguzi wa Australia mwaka 2019, vyama vya siasa vilitumia chini ya nusu ya vyama vya siasa vya Marekani vilivyotumia kwa kila mtu mwaka uliofuata. India kihistoria ilikuwa na uchaguzi wa gharama sana mwaka 2019. Kiwango hicho kilizidi matumizi ya wakati wa uchaguzi wa Marekani mwaka 2016, lakini hakikufikia gharama za uchaguzi wa Marekani 2020. Mwaka 2020, zaidi ya dola bilioni16 zilitumika katika uchaguzi wa rais na wabunge. Hiyo inajumuisha pesa zote zilizotumiwa na wagombea urais, wagombea wa seneti na wawakilishi, vyama vya siasa na makundi huru yanajaribu kufanya ushawishi katika uchaguzi. Wagombea wanatumia pesa kwenye nini? Kiwango kikubwa kinakwenda kwenye matangazo. Aina nyingine za matumizi ni pamoja na gharama za uendeshaji, mishahara ya wafanyakazi wa kampeni, na jitihada za uchangishaji pesa ili kupata pesa zaidi. Je, mgombea tajiri sana anaweza kushinda? Si wakati wote, lakini mara nyingi. Wakati wa uchaguzi wa katikati ya muhula Marekani wa 2022, asilimia 93 ya wagombea katika baraza la wawakilishi walitumia pesa nyingi zaidi na asilimia 82 ya wagombea waliotumia peza nyingi katika seneti walishinda. Mara baada ya mgombea kushinda uchaguzi, utegemezi wa pesa hauishi. Maafisa waliochaguliwa mara kwa mara hutumia sehemu ya siku zao kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ijayo. #uchaguzimarekani2024 #gharama #matumizi #seneti #wawakilishi #voa #voaswahili #warepublikan #wademokratiki #dunia
Kulinganisha gharama za uchaguzi wa Marekani na zile za nchi nyingine
- 21 Apr 2025 - African leaders praised the "legacy of compassion" and "commitment to inclusivity" of Pope Francis as they joined global mourning over his death on Monday.
- 21 Apr 2025 - South Sudan's army said it had recaptured a key town in Upper Nile state that it lost to an ethnic Nuer militia in March in clashes which led to the arrest of First Vice President Riek Machar and a spiralling political crisis.
- 21 Apr 2025 - Former President Uhuru Kenyatta has joined leaders and catholic faithful worldwide in mourning Pope Francis who passed on early this morning.
- 21 Apr 2025 - A hush reigned over the normally boisterous St Peter's Square on Monday as the faithful and the curious alike gathered at the seat of Catholicism to mark the death of Pope Francis.
- 21 Apr 2025 - Twenty-three bombs have been found underground in holes dug by residents of Hellu village, Moyale constituency, Marsabit county.
- - The Vatican, a papal powerhouse, world's smallest state
- 21 Apr 2025 - The Eiffel Tower's landmark illuminations will be switched off on Monday night in memory of Pope Francis who died aged 88, Paris mayor Anne Hidalgo said.
- 21 Apr 2025 - Sunday's scheduled canonisation of the Catholic Church's first millennial saint has been postponed to a later date after the death of Pope Francis, the Vatican said on Monday.
- 21 Apr 2025 - With the death of Pope Francis, announced by the Vatican on Monday, Roman Catholics around the globe will start speculating on who among the red-robed cardinals will succeed him.
- 21 Apr 2025 - The Mbagathi Hospital, which remains idle, was meant to save the government from expensive private medical insurance schemes.