Mamlaka Chad yatoa kanuni mpya kabla ya uchaguzi, wadau wa habari waikosoa

  • | VOA Swahili
    8 views
    Wakati Chad inajitayarisha kwa uchaguzi mkuu mwezi Disemba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo Hama imeshutumu wasimamizi wa vyombo vya habari kwa kuchapisha video ambazo hazijakubaliwa kwenye mitandao ya kijamii. Ungana na mwandishi wetu Kennes Bwire akikuletea ripoti kamili... #chad #vyombovyahabari #wasimamizi #video #uchaguzi #ndjamena #voa #voaswahili