"Wewe sio Mfalme wangu." - Jinsi Mfalme Charles alivyokatizwa na seneta Australia

  • | BBC Swahili
    968 views
    Tazama namna seneta huyu wa Australia alivyoingilia kati na kusitisha hafla ya Mfalme Charles katika Bunge la Australia baada ya kuibuka na kuanza kusema kwa sauti "Wewe si Mfalme wangu, hii si nchi yako" Lidia Thorpe, alisitisha hafla iliyoukuwa ikifanyika katika mji mkuu wa Canberra kwa kupiga kelele kwa takriban dakika moja kabla ya kuondolewa na usalama. #bbcswahili #australia #bunge Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw