Biashara I Kuongezeka kwa matumizi ya huduma za dijitali kuchangia ukuaji wa sekta ya kilimo

  • | KBC Video
    46 views

    Upunguzaji ushuru,kuwekeza katika uboreshaji huduma,kuratibu mbinu za kumudu gharama na kuchochea mahitaji ya ziada ya huduma za dijitali zimetajwa kuwa nguzo muhimu katika kuimarisha huduma za dijitali na ujumuishaji katika maswla ya kifedha.Waziri wa habari,mawasiliano na uchumi dijitali Margaret Ndung’u amesema kuongezeka kwa matumizi ya huduma za dijitali kunaweza kuchangia ukuaji wa sekta ya kilimo na viwanda kwa asilimia 3 na 3.35 mtawalia.Kwa habari hizo na nyingine ni katika kapu letu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive