- 208 viewsJe, unafahamu sababu zinazopelekea ugonjwa wa Polio na Njia bora za kujikinga. Pia utaweza kufahamu jinsi kampeni za chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox zinaendeleaje. Ungana na Mkamiti Kibayasi kwa ripoti hii maalum ya wiki hii. #polio #watoto #kinga #chanjo #ugonjwa #mpox #voa #voaswahili - - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Ugonjwa wa polio na namna unavyoathiri jamii zetu hasa watoto
- - NTSA on road safety ››
- 9 Jan 2025 - "China's reported levels of respiratory infections are within the normal range -- it's what we would expect to see for the winter season," spokeswoman Margaret Harris said.
- 9 Jan 2025 - Chad's government said security forces had foiled an attempt to destabilise the country on Wednesday evening, after bursts of gunfire rang out near the president's office in the capital N'Djamena and the military blocked the surrounding streets.
- 9 Jan 2025 - Raging wildfires surrounding Los Angeles spread to the Hollywood Hills on Wednesday, after five other fires in the area killed at least five people, destroyed hundreds of homes and stretched firefighting resources and water supplies to the limit.
- 9 Jan 2025 - South Korea's impeached President Yoon Suk Yeol faces a new and potentially more robust attempt to arrest him for insurrection after a top investigator vowed to do whatever it takes to break a security blockade and take in the embattled leader.
- 9 Jan 2025 - The sister of billionaire OpenAI Chief Executive Sam Altman filed a lawsuit accusing him of sexually abusing her regularly between 1997 and 2006, prompting him and other family members to deny her claims.
- 9 Jan 2025 - The two Heads of State held key discussions on Wednesday, January 8 in Luanda.
- 9 Jan 2025 - At 20 years old, Pierre Poilievre already had a roadmap for Canada. Canada's Conservative Party leader - now 45 - laid out a low-tax, small government vision for the country in an essay contest on …
- 9 Jan 2025 - The Inspector General and DCI boss were to appraise the court on the recent spate of abductions and whereabouts of abductees
- 9 Jan 2025 - US President Joe Biden has said he thinks he would have defeated Donald Trump and won re-election in November. Speaking to USA Today in an exclusive interview, Biden did, however, add that he was u…
- 9 Jan 2025 - Lebanon's parliament will try to elect a president on Thursday, with officials seeing better chances of success in a political landscape shaken by Israel's war with Hezbollah and the toppling of the group's ally Bashar al-Assad in neighbouring Syria.