Viongozi wa makanisa, Pwani waomba utulivu, baada za siasa za kubanduliwa kwa Gachagua kuzua chuki

  • | NTV Video
    178 views

    Baadhi ya viongozi wa Makanisa katika eneo la Pwani wamewataka wakenya kuwa watulivu huku dalili za ongezeko la chuki za kisiasa kutokana na kutimuliwa kwa naibu rais zikiongezeka.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya