Wanafunzi wa chuo kikuu cha Karatina waungana wanajamii kuusafisha mji wa Karatina na kupanda miti

  • | NTV Video
    138 views

    Kama njia moja ya kuboresha uhusiano mwema kati ya wanafunzi wa chuo kikuu cha karatina na jamii, wanafunzi waliungana na jamii hiyo ili kuusafisha mji wa gitunduti na kupanda miti. Hatua hii inajiri wiki mbili tu baada ya wanafunzi hao kugoma ,wakilalamikia hatua ya wafanyabiashara katika eneo hilo kuongeza malipo ya nyumba, na magari kuongezwa nauli.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya