Ibrahim Wanzala aitwa kwa kikosi cha Harambee Stars baadaya kuwakilisha nchi na timu ya Rising stars

  • | NTV Video
    211 views

    Baada ya kuwakilisha nchi katika kikosi cha Rising stars na kushinda tuzo ya kipa bora Ibrahim Wanzala ameitwa tena kwa kikosi cha Harambee stars ambacho kitaanza kujianda kwa mashindano ya chan ya mwako ujao. Hii ni mara ya pili wanzala ameshinda tuzo la kipa bora baada ya kutuzwa kipa bora mwaka jana katika shindano la CECAFA vijana wasiozidi miaka 18.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya