Waridi wa BBC: Mesha Singolyo, mwanamke wa mfano katika jamii ya Kimasai.

  • | BBC Swahili
    180 views
    Pamoja na kuhitimu shahada yake ya uzamili katika masuala ya maendeleo ya jamii, hakuona haja ya kutafuta fursa nyingine kama vile kuajiriwa nje ya maeneo ya jamii yake, bali aliamua kurejea kwa jamii yake ili kupitia taaluma yake awe na mchango kwao. Kwa sasa ni mwanaharakati anayewasaidia wajane kujikomboa kiuchumi kupitia vikundi vya akiba vya kijamii. Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa amezungumza naye akiwa jijini Arusha, kaskazini mwa Tanzania. 📹 @boshanyanje #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw