PAPA FRNACIS AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA MAREKANI

  • | VOA Swahili
    16 views
    Papa Francis amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin huko Vatican ambako Francis ameiombea amani Gaza. Papa,mwenye umri wa miaka 87, amesema kwamba Wapalestina wanataabika kutokana na ukandamizaji mbaya wa kibinadamu. Mapema, Austin alizungumzia hali ya Gaza akisema kwamba iwapo hatua hazitachukuliwa kusuluhisha hali mbaya ya kibinadamu, itapelekea kutokea kwa makundi zaidi ya waasi. Austin alihudhuria misa ya kutawazwa makuhani katika bustani ya mtakatifu Petro. - Reuters #papafrancis #vatican #rome #waziriwaulinzi #marekani #lloydaustin #amani #wapalestina #israeli