'Wayahudi watakuwa salama pale Wapalestina watapokuwa salama...'

  • | VOA Swahili
    260 views
    Ikiwa imebakia siku majuma kadhaa kabla ya uchaguzi wa rais Marekani, raia wa nchi hiyo wanaoishi nchini Kenya wanafuatilia mazungumzo ya pande mbili za kisiasa zinazowania uongozi wa kisiasa wa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa duniani. Sikiliza mahojiano ya mwandishi wetu Nairobi Kenya akimhoji Mmarekani-Myahudi anayeeleza masikitiko yake kuhusu mzozo unaoendelea wa Israel na Hamas. Endelea kusikiliza... #israel #wayahudi #vita #usalama #amani #kenya #nairobi #voa #voaswahili #uchaguzimkuu2024 #wagombea #republikan #demokratik