Fahamu umuhimu wa kura ya raia wa wanaoishi nje ya Marekani

  • | VOA Swahili
    35 views
    Joan, Mmarekani anayeishi Nairobi anasema alipiga kura katika uchaguzi wa mwaka 2020 akiwa nje ya Marekani na atafanya hivyo tena mwaka 2024. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu umuhimu wa kura ya raia wa Marekani wanaoishi nje ya Marekani. Endelea kusikiliza... #mmarekani #nairobi #kenya #siasa #kupigakura #ughaibuni #voa #voaswahili