- 2,922 viewsRais wa Kenya William Ruto ameahidi leo kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi katika mpango wa kupambana na magenge ya uhalifu Haiti. Nchini Marekani karibu wahamiaji milioni 24 wanastahili kupiga kura katika uchaguzi wa rais Novemba, 2024. #habari #kenya #haiti #williamruto #marekani - - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Ruto aahidi kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi Haiti
- - Fight against GBV ››
- - The grand heist ››
- 22 Nov 2024 - Kenya hosted the 15th Technical Advisory Committee (TAC) Meeting of the Regional Centre on Small Arms (RECSA), reaffirming its leadership in addressing the proliferation of small arms and light weapons (SALW) in the Great Lakes Region and Horn of Africa.
- 22 Nov 2024 - Following a story aired by Citizen TV on the dire state of roads in various parts of Nairobi, Governor Sakaja was on Friday put to task on the situation.
- 22 Nov 2024 - The Katiba Institute has filed a petition in court challenging a new directive requiring passengers entering Kenya to declare the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers of any mobile devices they intend to use while in the country.
- 22 Nov 2024 - Independent Policing Oversight Authority (IPOA) Chairperson nominee Issack Hassan has disclosed his net worth to be Ksh.100 million during a vetting session in Parliament on Friday.
- 22 Nov 2024 - The High Court has issued an order barring the Banking Fraud Investigations Unit from questioning Stanbic Bank CEO Joshua Oigara or any of the lender's employees regarding millions deposited into an airline’s account and later reversed.
- 22 Nov 2024 - The number of vehicle imports in Kenya has drastically dropped by 15 per cent amid tough economic times that have pushed Kenyans to the brink of despair.
- 22 Nov 2024 - Pope Francis has revised the funeral rites that will be used when he dies, simplifying the rituals to emphasize his role as a mere bishop and allowing for burial outside the Vatican.
- 22 Nov 2024 - The new developments come even as Kenya continues to face scathing criticism from the international community over the abduction.
- 22 Nov 2024 - Five people have died on the spot and several seriously injured in an accident involving a lorry and two vehicles at Kibirigwi area along Sagana-Karatina Road in Ndia, Kirinyaga County.
- 22 Nov 2024 - Tourism stakeholders have pledged to champion environmentally sustainable initiatives to ensure the growth of the tourism industry and other economic activities. During the third edition of the Uganda-Kenya Coast Tourism Conference, held over two days…