Watahiniwa zaidi ya 2,300 wapewa vifaa mumias west na butere

  • | Citizen TV
    133 views

    Zaidi ya watahiniwa 2300 kutoka familia zisizojiweza koatika kaunti ya kakamega wamepata afueni baada ya kupata msaada wa vifaa vya kufanyia mtihani wa kitaifa.