Huduma zimekosekana kwa wiki mbili sasa

  • | Citizen TV
    162 views

    Kwa wiki mbili sasa huduma katika hospitali za umma kaunti ya Trans Nzoia zimelemazwa kufuatia mgomo wa wauguzi katika kaunti hiyo.