Daraja la kuwavusha liliharibiwa na mvua

  • | Citizen TV
    156 views

    Wanafunzi na wakaazi wa maeneo bunge ya Butere na Mumias Mashariki wanapitia changamoto si haba kufutia ukosefu wa daraja ya kuwavusha kwenye mto Lusumu wanapoelekea shuleni.