Nyota wa Afrika Mashariki: Country Wizzy Je lebo zimemsaidia kufika alipo

  • | BBC Swahili
    217 views
    Country Wizzy @countrywizzy_tz ana zaidi ya miaka kumi katika muziki, licha ya kumiliki lebo yake ya muziki kwa sasa, pia aliwahi kupita katika lebo zingine. Je Lebo za muziki zinasaidia?