Mwanafunzi Mmarekani aeleza kuishi Senegal hakuathiri mtizamo wake kama mpiga kura

  • | VOA Swahili
    48 views
    Uchaguzi wa rais nchini Marekani unaleta msisimuko miongoni mwa baadhi ya wanafunzi wa Marekani wanaoishi nchini Senegal. Licha ya kuwa wako mbali na nyumbani wanasema bado wanavutiwa na kile kinachotokea katika makaazi yao ya asili. Sikiliza anavyosema mmoja wa mwanafunzi wa Marekani kuhusu kuwepo kwao Senegal na fursa gani inayopatikana kutathmini ni mgombea gani anayefaa zaidi kupewa jukumu hilo... Endelea kusikiliza... #uchaguzi #rais #senegal #marekani #wanafunzi #wagombea #republikan #demokratiki #voa #voaswahili