Shambulizi la Israel lawauwa waandishi wa habari watatu na kuwajeruhi wengine kadhaa

  • | VOA Swahili
    51 views
    Shambulizi la Israel mapema Ijumaa limewauwa takriban waandishi wa habari watatu na kuwajeruhi wengine kadhaa nchini Lebanon wakati walipokuwa wamelala katika nyumba ya wageni inayotumiwa na vyombo vya habari kadhaa. Sikiliza majina ya waandishi ambao waliuwawa na vyombo vya habari walivyokuwa wakivifanyia kazi. Endelea kusikiliza... #waandishi #israel #shambulizi #mauaji #lebanon #vyombovyahabari #hezbollah #iran