Viongozi waitaka serikali kuimarisha usalama Baringo huku mitihani ya kitaifa iking'oa nanga

  • | KBC Video
    29 views

    Viongozi katika kaunti ya Baringo wametoa wito kwa serikali kuimarisha usalama katika eneo hilo, huku mitihani ya kitaifa ya shule za msingi na Sekondari ikianza Jumatatu ijayo. Viongozi hao walielezea wasiwasi wao kwamba mitihani hapo awali imeathiriwa kutokana na visa vya ujangili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive