Serikali yajizatiti kukabiliana na wauzaji wa mbegu bandia

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imeahidi ukabiliana na wafanyabiashara walaghai ambao wanawauzia wakulima wa humu nchini mbegu bandia.Akiongea katika uwanja wa Urru ,Tigania magharibi kaunti ya Meru ,Katibu katika wizara ya kilimo Dr. Paul Ronoh alisisitiza umuhimu wa kuwalinda wakulima dhid ya bidhaa bandia za kilimo akionya kwamba watakaopatikana wakiuza mbegu bandia watachukuliwa hatua za kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive