Mataifa yatolewa wito kurahisisha usafiri kwa manufaa ya biashara

  • | KBC Video
    32 views

    Nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki zimepewa changamoto ya kuondoa vizingiti vya usafiri vinavyotatiza biashara kati ya mataifa wanachama wa jumuia hiyo na kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi katika eneo hilo. Ujumbe huu ndio ulioangaziwa zaidi wakati wa uzinduzi wa kikao cha

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive