Funza wanaweza kusaidia kukabiliana na ongezeko la joto duniani?

  • | BBC Swahili
    631 views
    Kutana na mjasiriamali wa Indonesia Markus Susanto ambaye anafuga funza na kuokoa maelfu ya tani za taka kila mwaka. Nzi chuma (Black Soldier) ni wadudu wanaotokana na taka za chakula zilizooza, ambazo, zikiachwa kwenye mashimo ya taka zinaweza kutoa gesi ya methane inayochangia kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa hewa chafu. #bbcswahili #mazingira #hewachafu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw