- 2,486 viewsJarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni iwapo hii ni njia mbadala ya kuhakikisha uwajibikaji na uongozi bora. Ungana na waandishi wetu wa VOA na wale wa Kituo cha Televisheni cha Azam TV na wachambuzi kutoka Marekani na maeneo ya Afrika Mashariki. #seneti #bunge #uwajibikaji #kenya #Africakusini #marekani #voa #voaswahili - - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Seneti na bunge kutumika kuwaondoa viongozi madarakani ni njia mbadala ya kuwawajibisha?
- - Fight against GBV ››
- - The grand heist ››
- 22 Nov 2024 - Kenya hosted the 15th Technical Advisory Committee (TAC) Meeting of the Regional Centre on Small Arms (RECSA), reaffirming its leadership in addressing the proliferation of small arms and light weapons (SALW) in the Great Lakes Region and Horn of Africa.
- 22 Nov 2024 - Following a story aired by Citizen TV on the dire state of roads in various parts of Nairobi, Governor Sakaja was on Friday put to task on the situation.
- 22 Nov 2024 - The Katiba Institute has filed a petition in court challenging a new directive requiring passengers entering Kenya to declare the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers of any mobile devices they intend to use while in the country.
- 22 Nov 2024 - Independent Policing Oversight Authority (IPOA) Chairperson nominee Issack Hassan has disclosed his net worth to be Ksh.100 million during a vetting session in Parliament on Friday.
- 22 Nov 2024 - The High Court has issued an order barring the Banking Fraud Investigations Unit from questioning Stanbic Bank CEO Joshua Oigara or any of the lender's employees regarding millions deposited into an airline’s account and later reversed.
- 22 Nov 2024 - The number of vehicle imports in Kenya has drastically dropped by 15 per cent amid tough economic times that have pushed Kenyans to the brink of despair.
- 22 Nov 2024 - The National Syndemic Diseases Control Council has introduced opium substitution therapy as part of its efforts to curb the rise in new HIV infections within the country's prison institutions. This initiative follows the council's alarm over the…
- 22 Nov 2024 - The crash happened when a trailer transporting maize hit two private cars at Kibirigwi market
- 22 Nov 2024 - Pope Francis has revised the funeral rites that will be used when he dies, simplifying the rituals to emphasize his role as a mere bishop and allowing for burial outside the Vatican.
- 22 Nov 2024 - The month-long Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) examination has come to a close, with the Ministry of Education reporting a decrease in exam malpractice cases. Basic Education Principal Secretary Dr Belio Kipsang, who dispatched the final…