Viongozi wa upinzani watishia kuenda mahakama kupinga uamuzi wa jopo la kuteuwa makamishna wa IEBC

  • | K24 Video
    785 views

    Viongozi wa upinzani wametishia kuelekea mahakamani kupinga uamuzi wa jopo la kuteuwa makamishna wa IEBC ikiwa hawatahusihwa katika shughuli hiyo. Wakizungumza na wanahabari siku ya leo viongozi hao wakiongozwa na Kalonzo Musyoka na Martha Karua wamedai kuwa usaili unaondelea ni kinyume na sheria wakitilia shaka baadhi ya wawaniaji walioorodheshwa ambao wanakesi mahakamani na wanaonekanan kuwa wanawegemea upande mmoja .