Wakaazi kaunti ya Murang'a waduwazwa na kupotea kwa zaidi ya watu watano

  • | K24 Video
    28 views

    Wakaazi katika kata ya Mariira katika eneo bunge la Kigumo kaunti ya Murang'a wameduwazwa na kupotea kwa zaidi ya watu watano katika kata hio kuanzia mwisho wa mwaka uliopita. Miongoni mwa waliopotea ni mwanafunzi wa kidato cha kwenza, mkongwe wa miaka 75, na mwanajeshi aliyekuwa amestaafu miaka miwili iliyopita. familia zao zinalilia haki masuali yakiwa mengi kuliko majibu