Ongezeko la ukosefu wa usalama hasa mashambulizi dhidi ya wanafunzi kaunti ya Nakuru

  • | K24 Video
    19 views

    Kizazaa kimeibuka hii leo katika eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru baada ya wakazi kuamua kuchukua sheria mkononi mwao kutokana na ongezeko la ukosefu wa usalama hasa mashambulizi dhidi ya wanafunzi. Wakazi wanamlaumu bwenyenye mmoja kwa madai ya kuzuia kuwekwa kwa taa za barabarani na kudinda kuondoka katika eneo linalofaa kutumika na umma.